Msaada kwa mwenye Kuijua Hii Bachelor of arts in Geography with environmental management

DMCT

JF-Expert Member
Apr 25, 2015
2,275
5,931
Poleni na majukumu wakuu...

Natamani na nimevutiwa kwenda kusoma faculty ifuatayo
Bachelor of arts in Geography with environmental management.. nimevutiwa nayo ila sina uelewa nayo..
Mwenye Kuijua Anishauri Wakuu..
Ni Mhitimu Wa Kidato Cha 6 Mwk Huu...HGL Ahsanteni
 
mkuu hongera sana, japo faculty ni kitivo wewe ndani yake utakuta course ndio utakayosoma kama hiyo unayosema
back to the topic, kuna mshikaji wangu alisoma HGL advance akaenda UDSM akasoma BAGEM, angalia academic prospectus ya UD mwaka huu/ jana uone kama unafiti
 
Back
Top Bottom