Bachelor of arts in philosophy and religion

mocran

Member
Joined
Apr 26, 2012
Posts
45
Reaction score
8
Habari wandugu , ninapenda sana philosophy na nataka kuapply hiyo degree pale chuo cha mwalimu nyerere ila ngependa kupata info japo kidogo kuhusu hiyo coarse kwa anayefaham baada yakuhitimu ajira zake zikoje au ni taasisi gan nnaweza kuajiliwa baada ya kuhitimu.
 
We utapendaje usichojuaa kaka
 
Habari wandugu , ninapenda sana philosophy na nataka kuapply hiyo degree pale chuo cha mwalimu nyerere ila ngependa kupata info japo kidogo kuhusu hiyo coarse kwa anayefaham baada yakuhitimu ajira zake zikoje au ni taasisi gan nnaweza kuajiliwa baada ya kuhitimu.
wewe soma mambo ya ajira baadae hapo soma kitu roho inapenda
 
Ina market hiyo, tena sana kwenye private institutions especially reiligious sectors pia kwenye schools zinazofundisha bible unaeza fundisha bible na divinity
 
Back
Top Bottom