Afisa Tabibu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 519
- 874
Wajuzi, kuna dogo anataka kusoma hiyo kozi hapo juu.. naomba wajuzi mnipe ABC nionzie wapi kumshauri. Na je ni kweli ukipata hiyo mkopo 100%?
Hii sio kozi ya ualimu wa Kiswahili, bali ni ubobezi katika lugha ya Kiswahiliasome course yenye masomo mawili geography na kiswahili...asibedhi kwenye somo moja tu...nchi yetu hii haitabiriki.....mkopo ni bahati msiujtegemee sana kuna kupata na kukosa
Acha uongo, hembu tutajie kozi zote za cluster one. Usije ukawapa watu vichwa hapa.Kwa mwaka huu B.A.K imewekwa kama Cluster namba moja kwenye Utowaji wa mikopo sawan MD, Ila siyo gurentee kupata mkopo, kuna sifa jumuishi na sifa za muombaji binafsi,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo mkuu usibishe ni cluster one bachelor of art in kiswahiliAcha uongo, hembu tutajie kozi zote za cluster one. Usije ukawapa watu vichwa hapa.
Weka zote za cluster one sasa ndio nacho maanisha. Mm ninavyo kuna hadi education in science, kuna petroleum, oil and gas, engineering.Ipo mkuu usibishe ni cluster one bachelor of art in kiswahili
Weka zote za cluster one sasa ndio nacho maanisha. Mm ninavyo kuna hadi education in science, kuna petroleum, oil and gas, engineering.
Nimekuwekea hapo na alama nyekunduWeka zote za cluster one sasa ndio nacho maanisha. Mm ninavyo kuna hadi education in science, kuna petroleum, oil and gas, engineering.
Mkopo kila mwanafunzi atapata Ila sio 100%Wajuzi, kuna dogo anataka kusoma hiyo kozi hapo juu.. naomba wajuzi mnipe ABC nionzie wapi kumshauri. Na je ni kweli ukipata hiyo mkopo 100%?
Sasa ulipokua unasema ipo na MD peke yake, na kuziweka kozi zingine pending ulimaanisha nini?
Sio mie aiseee angalia vizuriSasa ulipokua unasema ipo na MD peke yake, na kuziweka kozi zingine pending ulimaanisha nini?
Acha ubishi wa hovyo hovyo mkuu,Acha uongo, hembu tutajie kozi zote za cluster one. Usije ukawapa watu vichwa hapa.
Inaonekana Thinking ability yakoo ni finyu mnoo, wapii niliandika ipo na MD pekee yakee?? Niliandka B.A.K ipo cluster one kama ambavyo kwenye cluster hiyoo ipo MD, ACHA KUKURUPUKASasa ulipokua unasema ipo na MD peke yake, na kuziweka kozi zingine pending ulimaanisha nini?
Andika polepole sasa rafiki. Huna haja ya kuandika jazba.Inaonekana Thinking ability yakoo ni finyu mnoo, wapii niliandika ipo na MD pekee yakee?? Niliandka B.A.K ipo cluster one kama ambavyo kwenye cluster hiyoo ipo MD, ACHA KUKURUPUKA
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajiaibisha sana kujifanya mjuaji wa kila kitu na kucomment bila kusoma na kuelewa vizuri.Weka zote za cluster one sasa ndio nacho maanisha. Mm ninavyo kuna hadi education in science, kuna petroleum, oil and gas, engineering.
Unajiaibisha sana kujifanya mjuaji wa kila kitu na kucomment bila kusoma na kuelewa vizuri.
"Unajiabisha" ndio nini, andika "unajihaibisha"Unajiaibisha sana kujifanya mjuaji wa kila kitu na kucomment bila kusoma na kuelewa vizuri.
Soma vizuri labla uliyemquote sio mimi .Mwisho wa ubaya ni aibu sasa unaendelea kujidhalilisha kwa kunipa maneno ambayo sio yangu ,narudia tena soma vizuri kama nimeandika kama unavyodai najitoa Jf siitumii tena."Unajiabisha" ndio nini, andika "unajihaibisha"
Sentensi inakua na "na" nyingi sana.
Eti "Unajihaibisha" wewe umepuyanga kabisa na bahati nzuri nimewahi kukuquote usirekebishe ,sasa kwa kiswahili hapo ulipoweka "h" sijui kama umevuka darasa la nne😂😆😆😂"Unajiabisha" ndio nini, andika "k"
Sentensi inakua na "na" nyingi sana.
Verry poor 😂😂😂😆"Unajiabisha" ndio nini, andika "unajihaibisha"
Sentensi inakua na "na" nyingi sana.