Bachelor of arts in Kiswahili literature

Bachelor of arts in Kiswahili literature

Hehehe,hiyo kozi bwana ni kwenda kuwa mbobevu katika masuala ya fasihi kwa kiswahili.Hapa wewe unajengewa uwezo wa kwenda kuwa mchambuzi wa fasihi ya kiswahili ki undani kabisa, lakini pia mkiwa mnaendelea kusoma viko vitu vingi kama creative writting skills mbinu za uandishi wa fasihi kwa kiswahili kwa hiyo Mungu akubariki ukawe mwandishi mzuri wa vitabu, lakini pia mtafundishwa uhariri wa kazi za fasihi lakini na kazi nyingine kwa hiyo utakuwa editor mzuri sana wa majarida,magazeti,vitabu lakini hata matangazo, ukiwa na ufauli kuanzia G.P.A 3.5 au 3.8 and above utakuwa na nafasi kubwa kupata fursa ya kuwa tutorial assistant. Kozi hiyo si ya ualimu labda mpaka u opt pia kusoma teaching methodology unaeza kujijengea uwezo mpana wa kufundisha hata sekondari,we mwenyewe pia katika jitihada zako za ubunifu utaweza kuwa muandishi wa makala mbalimbali kwenye magazeti eeh, and of course kuwa na darasa la wazungu kuwafundisha kiswahili ni nje nje watu wanapiga hela mjini hapa hapa, na pia nahisi utasoma translation ivi ikufanye kuwa mbadili lugha.Kwa hiyo bwana kazi ni jitihada zako tu za ubunifu watu hawakuwa wajinga kiasi hicho kuweka kozi kama hizo watu watakupuuza sana mtu ukimwambia literature anaona kama mkojo au kinyesi but my friend achana na hizi kozi za kukariri cjui ba accounts,pspa cju nini.We kapige vizuri kuwa serious perform utaniambia.Three yers sio miaka mingi kakomae.
Nimependa ushauri wako mkuu kwan siku hiz hata ualimu huo tunaoupenda weng wetu ajira ztatoka wap? Huku kila familia kwa sasa ina walim zaid ya mmoja mwsho wa sku tutafundshana wenyewe majumban nashukuru mkuu ngoja nikakaze tu huko huko[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Nimependa ushauri wako mkuu kwan siku hiz hata ualimu huo tunaoupenda weng wetu ajira ztatoka wap? Huku kila familia kwa sasa ina walim zaid ya mmoja mwsho wa sku tutafundshana wenyewe majumban nashukuru mkuu ngoja nikakaze tu huko huko[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Hautakua peke yako,,,wapo wenye BA in history, in english, in geography etc,,,,,,,lakin ukweli mchungu ni kwamba kama unatarajia kuajiriwa, anza kujiandaa kisaikolojia kusota unless uwe una mjombaako wizarani
 
Afisa Utamaduni mtarajiwa
Karibu sana kijana kwenye hii fani. Mie nilimaliza hapo Udom 2013 BA.Kisw lit na 2014 nikapata ajira Afisa utamaduni wa wilaya. Kikubwa ni kuelewa unachosoma ili ukienda kwenye Interview usiyumbe
 
Achana na kozi hiyo ya kipuuzi bora usomee Hrm au sociology kuliko huo 'utopolo'
 
Wakuu naomba wataalamu mnaoelewa hiyo kozi inahusiana na mambo gani na ajira zake znakuwa vipi nimepangwa hiyo kozi UDOM ila kuna mikanganyiko ya mawazo ya wadau hadi nimeamua kuuliza leo eti... huo ni ualimu au siyo na kama siyo ualimu ni nini?
Hiyo kozi haitakufanya kuwa na sifa ya ualimu. Kama walivyokushauri wengi, ni kweli kwamba kuna changamoto kubwa kwenye ajira iwapo tegemeo lako uje kuajiriwa. Ni heri kusoma B.A. Kiswahili inayojumuisha isimu na fasihi ya Kiswahili japokuwa nayo siyo ualimu.
 
Back
Top Bottom