incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,533
- 4,291
Wakuu naomba wataalamu mnaoelewa hiyo kozi inahusiana na mambo gani na ajira zake znakuwa vipi nimepangwa hiyo kozi UDOM ila kuna mikanganyiko ya mawazo ya wadau hadi nimeamua kuuliza leo eti... huo ni ualimu au siyo na kama siyo ualimu ni nini?