Ni Kozi Nzuri Na Unafanya Kazi Kwenye Maabara Za Hospitali Ila Lazima Ujue Utahusika Na ,Wakuu ...naomba kujuzwa kiundani kuhusu hii course. ..
Ajira zake zikoje ?
Salary(take home)
Je wanaweza kufanya kazi maeneo yapi?
Wakuu naomba msaada wenu
Muulize Vizuri Itakuwa Ni Maabara Nyingine Kabisa - Hiyo Aliyoitaja Mleta Mada Ajira Zake Nje Nje - Serikalini , Sekta Binafsi Au Hata Ukitaka Kufungua Maabara Yako MwenyeweLabda ujiajiri mwenyewe au uajiriwe na watu binafsi,serikalini hutapata ajira
Jirani yangu mwaka wapili hana dalili ya kupata kazi
Mkuu hizo porojo au ndo hali halisi?....Serikali hatuna vifaa vya kutosha kwenye hospitali zetu hivyo hawa waliosoma mambo ya maabara kwa sasa hivi hatuajiri tena labda mpaka baadaye sana! Private watakulipa si chini ya laki 4.5 na si zaidi ya laki 6.
Mm pia nasomea hio course, ww upo chuo gani?Wakuu ...naomba kujuzwa kiundani kuhusu hii course. ..
Ajira zake zikoje ?
Salary(take home)
Je wanaweza kufanya kazi maeneo yapi?
Wakuu naomba msaada wenu
Ivi mkuu kwa hiyo course una weza kuajiriwa TFDA,TBS..?Hii course ina kipaumbe kama course zingine za afya na ajira serikali zipo njenje kama Udaktar,Famasia,Uuguzi(nurse) na taaluma ya Mionzi.Pia waatalam wake kwa ngazi ya degree ni wachache hapa nchini.
Ndo hali halisi mwanawane hiyo! Si unaona hata kwa walimu tumeshatangaza kwamba hakuna tena kuajiri walimu wa art? Hii nchi wewe tuache tu! Ila kwa kozi yako hiyo "lenga mbali" wacha kulenga ajira za serikali! Hivi hujawahi kuiona fursa iliyopo kama ukifungua maabara yako? Nyingi zilizopo zinaendeshwa na vihiyo/vilaza.Mkuu hizo porojo au ndo hali halisi?....
Acha kufananisha afya na mambo ya kijinga mkuuuuNdo hali halisi mwanawane hiyo! Si unaona hata kwa walimu tumeshatangaza kwamba hakuna tena kuajiri walimu wa art? Hii nchi wewe tuache tu! Ila kwa kozi yako hiyo "lenga mbali" wacha kulenga ajira za serikali! Hivi hujawahi kuiona fursa iliyopo kama ukifungua maabara yako? Nyingi zilizopo zinaendeshwa na vihiyo/vilaza.
Bahati mbaya wananchi hawawezi kutofautisha kati ya msomi na kilaza!Nenda pale shinyanga,wababaishaji wanapiga bao ile mbaya halafu wasomi na digrii zao hakuna anayewajua.Inasemekana hawa hutumia masangoma kuvuta watu.Na huwa nashangaa sana,wale wanaofanya biashara kisomi huwa wanafeli sana!Ndo hali halisi mwanawane hiyo! Si unaona hata kwa walimu tumeshatangaza kwamba hakuna tena kuajiri walimu wa art? Hii nchi wewe tuache tu! Ila kwa kozi yako hiyo "lenga mbali" wacha kulenga ajira za serikali! Hivi hujawahi kuiona fursa iliyopo kama ukifungua maabara yako? Nyingi zilizopo zinaendeshwa na vihiyo/vilaza.
Huu ndo ujinga wenu nyie mnaojitia kusoma,, mimi nakushauri mambo mazuri unaniambia nafananisha afya na mambo ya kijinga? Ina maana walimu wa arts wanasomea vitu vya kijinga? Basi wewe jikalie hapo ukisubiri ajira za magufuli kama utatoboa!!Acha kufananisha afya na mambo ya kijinga mkuuuu
Hii coz unaweza unaweza fanya kazi kweny medical institute eg:lab hosptal,research institute na food industrial pia. Kwa TFDA,TBS,NIMR its applicableIvi mkuu kwa hiyo course una weza kuajiriwa TFDA,TBS..?