Bachelor in invironmental science vs bachelor in environmental engineering


thomas_360

thomas_360

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2015
Messages
501
Likes
245
Points
60
thomas_360

thomas_360

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2015
501 245 60
Habari wakuu wa JF...
Naomba kupata ufafanuzi juu ya hizo degree programme tajwa hapo Juu maana kuna dogo langu mmoja kachaguliwa hiyo ya bachelor in environmental science anataka kujua utofauti wake na hiyo nyingine ili aangalie mwisho wa siku asome ipi.

Pia msaada zaidi wapi maeneo yake field na fursa zake kiajira...natumaini nitapata majibu ya hekima maana kuuliza sio ujinga daima.
 

Forum statistics

Threads 1,236,462
Members 475,125
Posts 29,258,766