willy ze great
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 1,086
- 1,335
Msaada hapo maaana ukikosea kuchagua kozi nzuri now utajuta mbeleni na vyeti vyako. Naomba ushauri upande wa ajira maana kozi kama telecom inatolewa UDSM, UDOM na DIT lakini nimeangalia watu walioapply ni wachache sana tofauti na computer science . Je ni kweli telecom ni ngumu watu wanaogopa au?
Nina certificate ya ICT na Diploma ya Computer science nafikiri nikiwa na degree ya telecom itapendeza sana ushauri tu..
Nina certificate ya ICT na Diploma ya Computer science nafikiri nikiwa na degree ya telecom itapendeza sana ushauri tu..