



hiyo ni kozi ya kukupa uelewa wa masuala ya dunia. Si kozi ya ajira au kujiajiri. Soma kozi ambayo hata usipojiajiri inaweza ikakusaidia ukajiajiri. Kama una God father mnene, somaWadau wenye uelewa wa hii course ktk soko la ajira. Natafuta ushauli kabla ya kuisoma this year kuhusu upatikanaji wake wa ajira
Huyo godfather akifa je?hiyo ni kozi ya kukupa uelewa wa masuala ya dunia. Si kozi ya ajira au kujiajiri. Soma kozi ambayo hata usipojiajiri inaweza ikakusaidia ukajiajiri. Kama una God father mnene, soma
Unaweza jiajiri kwa kuwa mchambuzi wa masuala ya diplomasiahiyo ni kozi ya kukupa uelewa wa masuala ya dunia. Si kozi ya ajira au kujiajiri. Soma kozi ambayo hata usipojiajiri inaweza ikakusaidia ukajiajiri. Kama una God father mnene, soma
If you value your life this ain't small shit.
kwa bongo ukayachambulie wapi? labda awe chawa tu
ndiyo sababu nimesema asome kozi ya kumpa unga kwanza hiyo fr iwe ya kujifurahisha tuHuyo godfather akifa je?
Dogo akasome kozi itakayo mwezesha kuajiriwa o kujiajiri.
#MaendeleoHayanaChama
Ni nzuri sana mi nimesoma hiyo degree na sasa nimeajiriwa kwenye NGO fulani, soma utimize ndoto zako usikatishwe tamaa ajira ni changamoto kwa fani zoteWadau wenye uelewa wa hii course ktk soko la ajira. Natafuta ushauli kabla ya kuisoma this year kuhusu upatikanaji wake wa ajira
Hata hayo masuala ya dunia yenyewe usipojiongeza mwenyewe, usitegemee utafundishwa class.darasani mnafundishwa theories tu.kuna jamaa angu aliisoma hiyo hapo udom sasa hivi kaishia kuwa mwalimu wa tution huku mtaani.hiyo ni kozi ya kukupa uelewa wa masuala ya dunia. Si kozi ya ajira au kujiajiri. Soma kozi ambayo hata usipojiajiri inaweza ikakusaidia ukajiajiri. Kama una God father mnene, soma