Bachelor degree of population and development planning.

Abdi 00082

Member
Mar 24, 2019
53
25
Wakuu naomba msaada kwa anayeifahamu hii kozi kwa undani, ukisoma unakuwa nani, soko la ajira liko vp kwa hii kozi, na inauhusiana na nn katika jamii. Nitashukuru kwa maoni yenu.
 
Mkuu Swala la ukisoma utakuwa nan toa kbsa kichwan mwko coz Elim ya Tz haitabiriki unaweza ukasoma MD na ukawa garbage collector
 
Something to note:angalia coz nyngne ambayo unaielewa zaidi achana na hzi coz za kuzikutia ukubwan
 
Wakuu naomba msaada kwa anayeifahamu hii kozi kwa undani, ukisoma unakuwa nani, soko la ajira liko vp kwa hii kozi, na inauhusiana na nn katika jamii. Nitashukuru kwa maoni yenu.
Kwa hii tz ya viwonder na kama huna connections kaa mbali nayo.
 
Re Unasomea idadi ya watu na mipango ya maendeleo ,..afisa mipango ,afisa maendeleo ya jamii,mtafiti na mtakwimu wa maendeleo,afisa watu .ni possible carrier ......kuhusu ajira hamna mtu anayejua destiny ya mwwenzie
 
Nashukuru sana mkuu kumbe ni kozi moja nzuri sana
 
Back
Top Bottom