Karibu Magogoni. Hii kozi ni mpya hapa Tanzania na inatolewa TPSC Cumpus ya Dar Es Salam tu kwa level ya Bachelor. Hakuna hata batch moja iliyomaliza, batch ya kwanza itamaliza mwaka wa masomo 2019/2020. Kozi hii inakuwezesha kuwa na skills zifuatazo; how to manage and administering office, writing in Shorthand and Hatimkato, public relations (public relations officer) and Protocol (protocol officer), contemporary secretarial skills (modern secretary hausiki na mambo ya reception), typist, how to manage conferences etc. Kwanza mwaka wangu wa kwanza tu tayari nimekuwa na hizo skills. Ukihitaji maelezo zaidi nitumie namba yako inbox.