Bachelor degree in legal and Industrial metrology??

hivi bado una mawazo ya ajira?
huoni hata waalimu wana aaply?
sasa kama hata huelewi maana ya hilo jina la kozi tuu si ukasomee tuu ata kilimo cha mboga uje kujiajiri au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sometimes ujiheshimu!siyo kila mtu anajua kila kitu.wengine tuna wadogo zetu wahitaji msaada wa ku apply.so kama hutaki kutoa msaada ni bora upite kimya kimya.kutokuwepo kwa ajira hakukufanyi usitimize malengo yako.acha uoga wa maisha

acha upupu
kakwambia nani muoga wa maisha?
huyo mdogo ako anajua kabisa ulivyo kilaza alafu anakuombaje msaada wa haya mambo?
ulivyotoa povu tuu nshakuelewa upoje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom