Bachelor Degree in Adult Education And Community Development

Bachelor Degree in Adult Education And Community Development

Raby Kilua

Senior Member
Joined
Jul 12, 2013
Posts
128
Reaction score
23
Wakuu field kwenye hii programme ni wap hasa? Na je ajira zake zikoje maana elimu ya watu wazima siku hizi haipewi kipaumbele. Msaada kidogo hapa
 
Hapo kwenye Community development unaweza fanya field hata kwenye NGO'S tofauti. Ila hapo kwa adult sijui labda wajuzi zaidi waje hapa
 
Elimu hipi hiyo ya watuwazima?uchunguzi
 
Adult education ni field pana sana ILA inategemea upo chuo gani ni Udsm,Udom au Taasisi ya Adult ed, wana taratibu zao kuhusu field....
 
Kwa Udom utachagua two teaching subject alafu field yako utakuwa shuleni ndo mnafanyia huko....
 
Kuhusu ajira tunahesabu kuwa ulipata tangu enzi zile za kisomo cha watu wazima, hivyo hatuangaiki na ww, mimi ndo mtendaji wa tume ya ajira bhana utaniambia nini ww!
 
Kuhusu ajira tunahesabu kuwa ulipata tangu enzi zile za kisomo cha watu wazima, hivyo hatuangaiki na ww, mimi ndo mtendaji wa tume ya ajira bhana utaniambia nini ww!

ahahahaa. Majibu yako na ID yako vinafurahisha kweli
 
Asanteni wakuu ila bado sijaridhika na majibu niliyopata
 
Write your reply...we xoma utakuw mwalimu wa kawaida, mwalimu wa vyuo vya maendeleo ya jamii na afixa maendeleo ya jamii
 
Back
Top Bottom