Lady of Destiny1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 588
- 869
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Mimi:Kesho ukimaliza pepa una ratiba gani
Yeye:Naenda Bagamoyo kwa ancle wangu
Mimi:Then after
Yeye:Baada ya hapo Nitaenda home (Bk)
Mimi:Muda mrefu hatujaonana lakini na kumbuka tulipanga ukimaliza UE tutakuwa na muda mzuri wa kuongea kuhusu muelekeo wa mapenzi yetu
Yeye:Ni kweli mama Ila naona kidogo ishu ya hela inakuwa ngumu kwa upande wa nauli ya kuja Dom.
Tufanye kukutana stand ya dodoma angalau tusalimiane nitakapokuwa naenda Bk
Mimi🙁Kwa unyonge Sana ),Sawa.
""""Kuna kijana anakuja kwa kasi ya 4G nimemkataa kwa sababu sipendi kukuumiza kwa Mara ya pili
Pamoja na changamoto unazopitia wakati huu nimeamua kujifunza kukupenda kwa sababu una moyo mzuri uliojaa upendo , I see the bright future a head with u darling
Ila maswala ya mapenzi uyapi kipaumbele kabisa ,can u imagine mwaka mzima hatujaonana hata kwa kiss tu na kunishika mkono???? yet unasema unanipendaaa?,BABY UTANIPA LAWAMA[emoji24]
Kumbe [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134] nampiga chini mchana huu huuThe guy has priorities, but you are not one of them!...mimi kama mwanaume nina uhakika asilimia tisini huyo jamaa hakupendi?
Hupendwi mbona!
Sasa huu ujumbe si ungemtumia yeye baby wako
Vijana wa kileo sijui mnakwama wapi au na yeye yupo JF forum
Good communication is a key to the most social issues including the bright future ahead of you n’ your baby
PoaAise ..ukweli mchungu huu
Kumbe [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134] nampiga chini mchana huu huu
SantePole
HayaHupendwi mbona!
Fafanua mkuuKuna watu wana roho ngumu sana
Mbaya sanaStress ni mbaya sana
Huyu ataki papuchi ,aliniambia hatanigusa Hadi tuoane,na nimjuavyo ndivyo alivyo ,.Anaona una mzingua tu ....haiwezekani Mtu haujaonana nae mwaka mzima then iwe hana shauku ya kuonana nawe wakati anakupenda !!!!
Acha akajilie papuchi anayoipenda huko BK ..... (BwA hahaaa)
Sante
Hakupendi huyo ila samahani kwa kusema ukweli wote[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]