Baby sitter services

Baby sitter services

narikuu

Senior Member
Joined
Jun 23, 2023
Posts
132
Reaction score
187
Habari Wana JF Ni matumaini yangu mnaendelea vizuri,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natoa huduma ya kuangalia nyumba au watoto endapo muhusika amepata udhuru au kwa sababu zingine.

Napatikana Dar es Salaam, Ilala.

kwa anahitaji karibu pm
 
Wooh kazi nzuri sana hio nimeipenda
Keep it up
Kikubwa uaminifu wa hali ya juu sana na naamini kama una maono baadae itakuwa kampuni kubwa sana.
 
Nawasubiri maboss zangu mnipatie Kazi uaminifu asilimia mia a
 
Weka gharama nko ilala pia umri miaka 6 lugha anaongea english tu
 
Good idea, mashaka yanakua kwenye uaminifu tu...

Unaweza kumuachia mtu nyumba nzima peke ake akaita canter mbili wakakusafisha.

Ndo maana watu wanapenda kuchukua watu wa makampuni reliable ili likitokea lolote kampuni inakua responsible
 
Habari zenu wanajamvi nmerudi tena Kwa huduma ya kuangalia nyumba ,watoto , wagonjwa piga 0713009695
 
Je? una mgonjwa ,Mzee au mtoto na unaahitaji uangalizi wa muda mfupi km Kwa siku au wiki ? don't worry i got you covered
Ninatoa huduma za kuangalia watoto wagonjwa na wazee kulingana na matakwa ya mteja
Huduma unafanyika nyumbani Kwa mteja nipo Dar es Salaam Kwa uhitaji piga
0713009695 kuweka appointment
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom