Baby Rain a.m

Manyanza

Platinum Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
21,438
Reaction score
56,281


Mwanadada na mfanyabiashara, Baby Rain maarufu kama Mshangazi amejitokeza Hadharani na kusema yupo single anahitaji kuwa na Dudu Baya kimahusiano ya kimapenzi.

"Mimi nipo single nahitaji kuwa na Dudu Baya kimapenzi, sawa hajanitongoza ila Mimi namhitaji niwe naye, na nipo tayari kumhudumia Kwa Kila kitu hata kumpa milioni tano Kwa mwezi, Dudu Baya ni mwanaume Jasiri anaye Jiamini hicho ndo kilicho nivutia kutoka kwake"

πŸ—£οΈ Amesema Baby Rain maarufu kama Mshangazi

Your browser is not able to display this video.
 
Duuh
 
kaka mkubwa Manyanza tuaheshimana sana nawewe Bila shaka unajua na Mimi Niko single Hapa JEIFU mambo yasiwe mengi naomba no zake huy mlimbwende wa Daslam
 
kaka mkubwa Manyanza tuaheshimana sana nawewe Bila shaka unajua na Mimi Niko single Hapa JEIFU mambo yasiwe mengi naomba no zake huy mlimbwende wa Daslam
Ndugu yangu huu ni mtego Kaka yetu asanuke aisee, maana huu Mshangazi umejazwa mihela na Wasenge halafu amuingize Dudubaya kwenye mtego. Wanawake hawaaminiki hawa

Kesi ya Samson na Delillah ikumbuke πŸ˜ƒ
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…