Baby nipeleke chooni..

msafwa93

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
4,840
Reaction score
6,148
Nimekuwa katika mahusiano kwa muda mrefu na binti mmoja ambaye siku zote huwa tunafurahia mahusiano kama kawaida na hajawahi niambia mambo ya chooni...


Kilichonichanganya ni hili tukio la jana ambalo limenifanya nivunje ukimya...


Wakati tunavunja amri ya sita baada tu ya kumaliza first round tulipumzika kama kawaida ili kujiandaana second round....


Wakati niko tayari kwa second round, mrembo wangu aliomba nimpeleke chooni..."BABY NIPELEKE CHOONI"...

Nikamwambia "afadhali umesema mapema kabla sijaanza second round maana ungenikata stimu, haya baby twende..."

Nilivyo mwambia hivyo huku nikiwa nimesimama , mwenzangu aligoma, akarudia tena, "BABY NIMEKWAMBIA NIPELEKE CHOONI"....!!

Nikamwambia :"sasa si uamke twende? ..Nilivyosema hivyo, binti alianza kuniangalia kwa jicho la hasira na baadae akavaa nguo zake akatoka kwa jazba...

Kusema kweli nilipigwa na butwaa huku nikiwa sielewi kinachoendelea.Baada ya muda kidogo alinitumia text inayosema hivi:

"Mwanaume gani wewe huelewi...!!! siamini kama ni mshamba kiasi hicho. Next time nikikwambia NIPELEKE CHOONI maana yake ubadilishe mlango"

Kumbe maana yake ilikuwa kumpeleka chooni ni kumuingilia kinyume na maumbile,kitu ambacho niliapa kutotenda maishani mwangu....



Naombeni ushauri au mtazamo wenu.Binti bado nampenda na tuna share vitu vingi sana...Najaribu kuachana naye lakini nashindwa na Kumpeleka chooni siwezi hata kwa dawa..!!
 
Ni aidha vunja mahusiano nae au kubali kumpeleka huko toilet otherwise wengine watakupelekea chooni...
 
mkuu Baba V hii topic imeshajadiliwa sana hapa hujaiona? watu wanakopi tu kwen mitandao mingine wanaleta kama stori zao za ukweli

Kumbe ndo alichofanya njegele huyu, Sikuiona
 
Last edited by a moderator:
inspektA watu8 naomba muongozo, validity ya hii hadithi, haijawai andikwa humu?
 
Last edited by a moderator:
mkuu tushaijadili sana hii humu ungekuwa unapitia kwanza kabla ya kupost chochote
 
Wee negere mbona wadau wanasema umecopy na kupaste hii mambo ya long time
 
Wee negere mbona wadau wanasema umecopy na kupaste hii mambo ya long time

hii stori ina zaidi ya wiki ktk mitandao mbalimbali,umekopy mkuu..
ila sio ishu,ungemwambia chooni hutafika,utaishia bafuni tu.
 
inspektA watu8 naomba muongozo, validity ya hii hadithi, haijawai andikwa humu?

nadhani hata wiki haijaisha toka imeonekana humu mara ya kwanza!hawa watu wa copy and paste bwana...wanatujazia saver!
 
Hadithi/tukio hili licha ya kwamba nimelisoma hapa jamvini siku zakaribuni kabisa, lakini ni tukio la kweli ambalo lilimtokea kijana mmoja zaidi ya miaka 10 iliyopita wakati tunasoma chuo!

Si habri ngeni lakini kama kweli umekutana nayo hakuna jinsi zaidi ya kuachana naye huyo, si wako na hakufai kwa aina ya msimamo ulionao............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…