Mkuu usipende kuita mwanao / wanao majina ya kupewa from nowhere, unaweza mpandikizia mwanao pepo tangu akiwa mdogo make binadamu wamekuwa wakatili kuliko wanyama.
Anakupa jina nawe unalipokea tu bila kujua maana wala asili.
Kama ni muumini wa kiislamu au kikristo tafuta jina zuri toka vitabu vya dini. Majina mengine laana na mikosi tu.....
NB: Ni ushauri wangu binafsi.....