unaona sasa umekuja na li IDEAok will try my level best sasa zombie mwenyewe ndo nani ili nikimuona nimlengeshe kwa kongosho akiwa in a need ya ku holdiwa as in a month a woman huwa anapata hamu ya kuwa holded na hot baby.
kiashirio kuwa imesimama au ndo ushamwaga wese now unahema..........??
unaona sasa umekuja na li IDEA
ngoja nimwite the master mind himself watu8 aone hapa tunaweza kufanya hilo
BIG RESULTS NOW ujue
mtani nimesikia kuitwa na sauti yako...maana nilikuwa naikimbia hii sredi nisijetiwa majaribuni mimi...
just hold ur baby if u can
Dah... I like that song!
I wish nirudie enzi zileee za kipindi kileee....
hilo la kwenye mabano ya makisi kisi hilo ndilo mimi na wezangu wa #team zombie tunakomaa nalo kweli toka mwaka huu uanze
ingia basi kwenye team yetu
tupo mimi watu8, King'asti, BADILI TABIA, Nicas Mtei , Kaizer na ehehehhehe Kongosho mwenywe!
si haba tupo hatua nzuri so kazi haitakuwa kubwa sana
Do not lead me into temptation.....
Usimfuatishe huyu, atakupoteza.
Can u imagine leo kaenda simamia site kwangu 🙂, he he he, siri yako lakini.
He he he, mnunue na themometa ya kupimia when am hottest
Ewaa acha tu yani ni ugomvi na mito hpa yani umewekaji thriller hii tamu wakati si bado single jamani eti mama@kipipi nishauri
yaani we acha tuu raha tupu thank God kaitika