Babuuuu....!!!!!

Babuuuu....!!!!!

Mshuka1

Member
Joined
Sep 2, 2013
Posts
5
Reaction score
2
Kuna Babu kakutwa Stend ya Basi analia sana,kila wakimuuliza babu unalilia nini hasemi anaendelea kulia tu,wasamalia
wema wakambeba hadi hospitali,Doctor akamuuliza babu unaumwa nini:Babu akajibu kwa upole sana SIUMWI ILA VIATU
VINANIBANA !!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom