babu yangu akienda chunga ngombe

babu yangu akienda chunga ngombe

TECHMAN

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
2,649
Reaction score
1,128
babu.jpg
babu na akle wangu wakijianda kwenda kuchunga ngombe huku wamebeba fimbo zao za kuchungia.
 
wamepaka nini miguuni? wanaenda kuchunga au kuwinda? maana na mitutu
 
wamepaka nini miguuni? wanaenda kuchunga au kuwinda? maana na mitutu
Kaka hiyo ni kwa ajili ya kuchungia, sisi kabila letu sio wawindaji, mapori ya kwetu hakuna wanyama pori zaidi ya fuko ( panya pori)
 
hawa lazima wawe wa pokot Kenya huko kuna wizi wa mifugo balaa so kila mchungi ana zana yake
 
Back
Top Bottom