Sugar wa Ukweli
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 373
- 40
Itakuwa kama Rwanda
Mbona babu mambo yake hayana Mungu ndani yake??? Kwa mfano, Yesu wetu au nguvu zake kupitia wanaomwamini huwa hawezi kukuponya na akakusihi uendelee kunywa dawa. Kwa jina la Yesu ukiponywa ni pale pale unapona kabisa. Kuna ushahidi wa watu wengi waliokwenda Loliondo kunywa dawa wamepoteza maisha. Jana tumemzika jirani yetu mmoja alipata kikombe kisukari kimemuondoa jamani.
Nimepitia hospitali mbili, maabara wameniambia, wengi wemekuja kupima baada ya kutoka loliondo, lakini kuna matatizo makubwa kwani
katika maabara hizo mbili kubwa hapa dar, hakuna maajabu kuwa kuna aliyepona.
Naomba tufuatilie suala hili. Uponyaji huu (is too sweet). Kuna jambo baya laweza kutokea. Tujihadhari.
basi tena ndo hivyo itakua imetokea....daah i wish him to succes always kama vip aish daima coz kama hiyo dawa yakeimeprove uwezo basi ya ukweli
Hv mpk leo kuna haja ya kumtafakari ya BABU wa Loliondo? Mi naona kama hauna IMANI naye mwache alivyo. Maana mtaani kwangu mi nimeshuhudia wa2 waliokuwa hoi na leo hii wamerejesha tumaini ktk kundi la kibinadamu. Mi naona kama huna Imani naye we piga kimya tu. Nimewashuhudia wa2 km sita walikuwa hoi ila leo wamerudi on line kbs. Imani yako itakuponyaaaaaaaa!!
Au amekutaalifu, tuambizane tusipande basi kwenda loliondo tuishie kwa bibi tabora
Kwa mfano Babu wa Loliondo atoweke ghafla halafu aache ujumbe mfupi kuwa"NDUGU WANAINCHI NIMEAMUA KUKIMBIA!!!!,BAADA YA KUGUNDUA HII DAWA NI SUMU HUUA BAADA YA MIEZI 6,WANANGU 3 WAMEKUFA,KWANI WAO NDIO WA KWANZA KUPATA KIKOMBE CHA MAJARIBIO,NI KWELI WALIPONA LAKINI WAMEFARIKI DUNIA KWA MKUPUO BAADA YA MIEZI 6.BORA NIKALIWE NA SIMBA KULIKO KIPIGO MTAKACHONIPA",Je unafikiri dunia itakuaje kwa MSHITUKO?