well said FaizaKufa CCM is not an issue na ukirudi kwenye posts zangu huko nyuma utakuta nimesemakuwa siamini kama vyama vya kibanaadam vitakaa daima hapa duniani, na pia nimesema vyama vingi kabla ya CCM vilikuwepo na vimekufa, point yangu ni huyu Mzee kusema kwa uhakika kabisa kuwa yeye hafi kabla ya CCM kufa. Yeye anaushirika na Mungu? hata ajue lini atakufa?

Nyerere ndio kakuletea, ulikuwa hata TV huna wakati wa Nyerere, unataka kusema nini, muwadanganye haohao wakuja wenzenu!

Naona umesahau kama kuna Kilimo Kwanza, na hiyo ni sera ya nani? Na umesahau ajira zinazozalishwa zaidi ya awamu yoyote ile, hiyo ni sera ya nani?

<br / njaa imetokea wapi tanzania km kn kilimo kwanza? kilimo kwanza ni wimbo wa jukwaani km ulivyo wa ccm ccm ccm namba one wkt kiukweli ni namba -0Naona umesahau kama kuna Kilimo Kwanza, na hiyo ni sera ya nani? Na umesahau ajira zinazozalishwa zaidi ya awamu yoyote ile, hiyo ni sera ya nani?

Huwezi kuwaingiza watu mkenge kwa hoja chovu kama hizo, kilimo kwanza kwa power tiller za kulimia bustani za maua na matrekta aghali ya suma jkt!? it's a daydream dear lady!
Kilimo kwanza hakihusishi power tiller pekee, kilimo kwanza ni kila kitu kihusucho kilimo, pasipo faa power tiller patapelekwa kinachofaa. Hivi ukanunue power tiller mahali pakulima na trekta la horse power 200 utakuwa una akili sawasawa?
Nakuona kuwa u mbumbumbu wa kutupwa, hujui kuwa maua ni zao moja lenye faida sana duniani? kweli umbumbumbu umekukithiri. Leo Mbeya kiwanja cha ndege cha Kimataifa kina pigiwa debe haraka haraka ili waweze kulima maua kwa wingi, kama hujui umuhimu wa mazao ya maua tafadhali nenda Arusha na Moshi ukawaeleze hayo, magwanda wenzako watakucheka kwa hilo, wengi wako huko na wanafaidika sana na maua.
Ukumbuke kuhusu Kilimo kwanza, dhanna yake sio kutoa matrekta ya bure,kama unaona ya Suma ni ghali wala hujalazimishwa lazima ukanunue hayo, unaweza hata wewe kuleta matrekta ya rahisi, mbona wengi sana wanaleta hata ya mitumba na yote hayana ushuru kabisa, au hayo huyajui. Kama wewe unangoja ya bure, utangoja sana. Hata huyo Slaa na Mbowe hawawezi kukupa cha bure, kama unabisha nenda pale Bilicanas ukaone kama kuna bure pale! au nenda CCBRT. Usintie kichefu chefu kwa kuongea utumbo.

Nilimsikia pia aliposema msimfanye Nyerere kuwa Mungu au hukumsikia? kama ulimsikia mbona na hiyo huisemi? Mtwana babako.
Huyo Nyerere katupa nini? zaidi ya dhiki na njaa isiyo mfano, JK kakupa nini? leo unakaa kwenye mtandao raha mustarehe halafu unauliza kakupa nini?

Kilimo kwanza hakihusishi power tiller pekee, kilimo kwanza ni kila kitu kihusucho kilimo, pasipo faa power tiller patapelekwa kinachofaa. Hivi ukanunue power tiller mahali pakulima na trekta la horse power 200 utakuwa una akili sawasawa?

Nakuona kuwa u mbumbumbu wa kutupwa, hujui kuwa maua ni zao moja lenye faida sana duniani? kweli umbumbumbu umekukithiri. Leo Mbeya kiwanja cha ndege cha Kimataifa kina pigiwa debe haraka haraka ili waweze kulima maua kwa wingi, kama hujui umuhimu wa mazao ya maua tafadhali nenda Arusha na Moshi ukawaeleze hayo, magwanda wenzako watakucheka kwa hilo, wengi wako huko na wanafaidika sana na maua.

Ukumbuke kuhusu Kilimo kwanza, dhanna yake sio kutoa matrekta ya bure,kama unaona ya Suma ni ghali wala hujalazimishwa lazima ukanunue hayo, unaweza hata wewe kuleta matrekta ya rahisi, mbona wengi sana wanaleta hata ya mitumba na yote hayana ushuru kabisa, au hayo huyajui. Kama wewe unangoja ya bure, utangoja sana. Hata huyo Slaa na Mbowe hawawezi kukupa cha bure, kama unabisha nenda pale Bilicanas ukaone kama kuna bure pale! au nenda CCBRT. Usintie kichefu chefu kwa kuongea utumbo.
Huyo kajichuria mwenyewe.
Nakumbuka katika kusherehekea miaka 75, Nyerere alisema hana sababu ya kufa kabla hajafika 100 kwani mama yake kafika.
Baada ya mwaka na alipokwisha jijua kuwa ana leukemia akabadili msemo akasema kisha pitisha muda wa kuishi ulioandikwa kwenye biblia.
Mungu hakajeliwi. Ni yeye tu ajuaye saa na dakika.
Mzee kasema kweli lazima ccm ife ili nchi isonge mbele!
dada uko juu.Huyo kajichuria mwenyewe.
Nakumbuka katika kusherehekea miaka 75, Nyerere alisema hana sababu ya kufa kabla hajafika 100 kwani mama yake kafika.
Baada ya mwaka na alipokwisha jijua kuwa ana leukemia akabadili msemo akasema kisha pitisha muda wa kuishi ulioandikwa kwenye biblia.
Mungu hakajeliwi. Ni yeye tu ajuaye saa na dakika.
wafa maji CCM imerudi kwa wananchi Chama sasa kiko juu!Kwa mujibu wa masharti ya kuanzisha vyama vya siasa CCM ni batili, kwani vyama vyote vilivyokuwepo kabla ya mfumo wa vya vingi, havikutakiwa kusajili wala kutumia majina ya zamani.
Ya kweli haya?wafa maji CCM imerudi kwa wananchi Chama sasa kiko juu!
mtajuta .