MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,557
- 24,182
Team Wabakaji.
😀😀😀😀😀😀😀Walau Pdiddy alikuwa anachapia maandishi, lakini maudhui tulikuwa tukiyaelewa
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Ndugu Mzazi/ Mlezi
Uongozi wa shule unakukumbusha kuwa mtoto wako hataruhusiwa kupanda basi la shule wala kuingia darasani kama hujalipa ADA”
Kwa hiyo wao tu ndio wanatakiwa kubugi,ninyi ni wateule huwa ham-bugi?wakibugi tena sheria ni ile ile....debe litawahusu lkn ni vgumu sana mana wanaonesha wananidhamu ya hali ya juu
mbona umenijibu kana kwamba mi mwana ccm ndugu?[emoji13]Kwa hiyo wao tu ndio wanatakiwa kubugi,ninyi ni wateule huwa ham-bugi?
Wanaandaliwa kwa kampeni 2020, sasa hivi ni bidhaa adimu, ukumbuke Kapteni Komba amesha RIP.[/
papaii kocha katika utetez wake mahakaman alidai yeye ni Anisi kwaiyo nawaomba nyie milupo mumuhache msimsumbue papii kocha..