Babu Seya atatoka jela leo

Jino Kwajino

Senior Member
Joined
Dec 22, 2012
Posts
191
Reaction score
39
Ndugu watanzania na walimwengu kwa ujumla.

Enyi wapenda amani na haki za binadamu.

Enyi wazalendo na wazazi wa taifa hili.

Katiba ya nnchi hii inatamka wazi binadamu wote huzaliwa huru na wana haki sawa, ukiongelea haki ni kitu alichonacho mtu pasipo sababu yoyote ya kiuchumi, kijamii wala kisiasa bali kwakuwa ni binadamu.

Tumeshuhudia hukumu ya babu Seya aliyohukumiwa kifungo cha muda mrefu kwanza akitupwa ndani yeye pamoja na wanawe kwa madai ya kubaka.

Sina cha kukanusha au kusema kuhusu hukumu yake kwani mimi sio mtaalamu wa sheria, ninachowaomba wadau mtakaosoma hapa tuungane kumuomba Mungu haki itendeke leo Nguza afungwe au aachiwe huru kwa misingi ya haki.
 
Unataka kusema nini, au upo kwa mlengo upi?
 
Sasa kwenye heading umeandika nini na humo ndani umechora nini..!!? au ndo ulitaka na wewe uanzishe thread..

Babu Seya alifanya kitu kibaya sana mke anauma jamani, ni heri angefanya kitu kama alichofanya Kapuya, angesamehewa
 
If and only if.. They're innocent.
 
Angelawiti mwanao ndo ungeona raha ya yy kusota jela,,malpo n hap hapa dunian na hyo ndo haki yake,weng hamjui hli sakata coz mpo mikoan mlisimuliwa tuu
 

agelawitiwa mwanao ungeposti upuuzi huu?
 
Ili msiendelee kujadili mgao wa umeme, mashine za EFDs, tembo, unga, Kapuya, Div 5, nawahakikishia leo WATAACHIWA HURU.
 

Safi sana
 
!
!
angetoka ila tyming ndio mbaya, baba nanihii katika hili hataki kuonekana kashindwa.
ingekuwa 2016 au zaidi ya hapo, angetoka bila ubishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…