Babu Seya atatoka jela leo

Babu Seya atatoka jela leo

atatoka wakat anaenda mahakamani... sasa swali... akitoka mahakamani atarudi tena jela au ataenda Uraiani?
 
na unaweza ukawa graduate wewe..!!!
 
Wale n wabakaji hakuna haja ya kuwaombe mema,mliopo mkoan hiii mlioskia kama stor tuu tuuulZen sisi tuliokuwepo mjin hapa tuwapen ukwel wa mambo,angewalawiti wanao ndo ungeumia
 
Back
Top Bottom