Kwa sasa kuitetea ndoa inabidi ujizime data kwanza, maana yanayoendelea kwenye jamii kila siku yanazidi kuthibitisha kwamba ndoa ni taasisi ambayo imepitwa na wakati.
Narratives zote tulizoaminishwa kuhusu ndoa, kwamba ni pingu za maisha, kiapo cha uaminifu na kuvumiliana kwenye shida na raha ni za uongo.
Kataa ndoa wana hoja za msingi zaidi ukilingamisha na hawa watetezi wa ndoa ambao hawana hoja, wao ni vitisho na dhiaka tu