Babu na JF

hapa utakutana na mambo yooote!!!na ukiwa adicted utalala njaa kila siku!
 
kumbe ni wewe shikamoo babu Asprin

Marahaba Mjukuu wangu Chetuntu mbona hukuja kunisalimu, safari yako iliishia wapi,siku nyingine ukiniona nisalimu usiniogope.Sawa mjukuu wangu eeh
 
Wadau leo nimefarijika sana, nilikuwa airpot kuna babu kama wa miaka 65 hvi alikuwa busy mno anachek Jf tena anavinjari kila jukwaa. Idumu JF

Its a courageous spirit,
Long live JF.
 
Marahaba Mjukuu wangu Chetuntu mbona hukuja kunisalimu, safari yako iliishia wapi,siku nyingine ukiniona nisalimu usiniogope.Sawa mjukuu wangu eeh

mmhh! Babu mkarimu! Aku naogopa babu ucje nibabua.
 
Babu ODM pole naona wakumbuka mengi.............kubali hali halisi wote twapita
 
Wadau leo nimefarijika sana, nilikuwa airpot kuna babu kama wa miaka 65 hvi alikuwa busy mno anachek Jf tena anavinjari kila jukwaa. Idumu JF
Mungu akulaze mahala pema peponi amen!
 
Rip chetu.
Tulikupenda ila mungu kakupenda zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…