*Mzee mmoja aliagizwa sidiria na mke wake, alipofika dukani akawa amesahau size gani. Mama muuzaji akamwambia: "Usijali, njoo unishike matiti yangu ulinganishe na hayo ya wife yako labda utakumbuka ukubwa wa sidiria ulioagizwa, "Mzee kuona hivyo akasema: "Niliagizwa na chupi!"* [emoji13] [emoji12] [emoji13] [emoji12] [emoji87] [emoji23] [emoji23]