wewe unahesabu mpunga wa wenzio unakuhusu nini?
Hajakosea, tunapaswa kujua. Tusizuie vichwa vyetu kujua mambo
Haya mwambie alete source ya data zake basi?
Katavi, unaheshimika na jamii ya JF, usiingie majaribuni KWA KAULI AMBAZO SI za cadre yako!Kumbe ni biashara nzuri....
Inalipa mkuu,ni kuwa na nidhamu na fedha,kupunguza matumizi na kukumbuka kuweka akiba. Kwa msingi huu lazima kieleweke tu.Kumbe ni biashara nzuri....
Katavi, unaheshimika na jamii ya JF, usiingie majaribuni KWA KAULI AMBAZO SI za cadrfe yako!