Babu Marcio Maximo arejea tena Tanzania

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
6,621
Reaction score
9,163
Wataishia kumfukuza babu wa watu,mpira wa kisasa atauwezea wapi?
 
Akimaliza msimu wa ligi, basi ni jambo la kushukuru.
 
Atawarudisha. Dimbani kina Ngasa. na Maftah
Dah unanikumbusha mbali nilivyokuwa mdogo maftah. Boban Henry John shindika Dan mrwanda.

Wakati ule Boban na kaniki walivyoenda Sweden niliwatangulia. Harun boban hakupenda kabisa Maisha ya ulaya alimiss company ya masela ya uvutaji bangi bongo, akaamua kurudi. Nilikuwa bado young ma late teens.

adriz
 
Boban alinifurahisha sana.. nakumbuka nilisoma kwenye gazeti hiki kisa chake eti maisha ya sweden hayawezi, dah nilicheka sana.
 
Kaja kujidhalilisha tu ,na itakua dau lake la kawaida ila kmc nao wabadilike
 
Haya haya jamani yule aliejenga heshima, sasa amekuja kuibomoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…