Babu Mahakamani na jina lake Zuri

Babu Mahakamani na jina lake Zuri

ludoking

Senior Member
Joined
Oct 5, 2008
Posts
124
Reaction score
71
Bubu ndani ya mahakama!alipoulizwa jina lake alijishika koo na sehemu zake nyeti,Hakimu akakasilika kwanini? bubu anatania mahakama.Ikabidi atafutwe mtaalamu wa lugha za mabubu akasema kuwa jina lake ni Kombo!!
 
Back
Top Bottom