Babu kanishauri?

Babu kanishauri?

babu yupo sahihi watakao kuangalia kipendi cha uzee wako ni watoto wako na mkeo jengeni familia mapema final uzeeni
Ulaya na America, watoto hawana time ya kulea wazazi wao wazee.

Ukizeeka unapelekwa kwenye nyumba ya kulea wazee.

Unaweza kujenga familia mapema na kuzaa watoto mapema wakafa kabla yako. Uzeeni ukabaki mwenyewe

Hakuna uhakika kwamba ukizaa watoto mapema na kuoa mapema utafika uzeeni. Unaweza kufa ungali kijana pia.
 
Huo ushauri wa babu kaufanyie kaz usiogope kufa tengeneza familia na uipende yako yote them matunda yake utayaona badae bt usije kuoa wa mitandaoni bro nakuomba.
 
Ulaya na America, watoto hawana time ya kulea wazazi wao wazee.

Ukizeeka unapelekwa kwenye nyumba ya kulea wazee.

Unaweza kujenga familia mapema na kuzaa watoto mapema wakafa kabla yako. Uzeeni ukabaki mwenyewe

Hakuna uhakika kwamba ukizaa watoto mapema na kuoa mapema utafika uzeeni. Unaweza kufa ungali kijana pia.
ulaya na Amerika huo ni mfumo na utamaduni wao waafrika hatupo hivyo
na tusitake kuiga mambo yao tuwaachie wenyew

hayo mengine ni mipango ya mungu
 
Watoto wako na mke wako wakifa kabla yako, Huko uzeeni utalelewa na nani?
 
Babu kama katumwa mwambie apeleke ujumbe kwamba hawatuwezi
 
Back
Top Bottom