Ungejua check up ya teze dume inafanyikaje, hautataka kufanyiwa tena, Ukifanyiwa mara 2 au 3 lazima uwe shoga. Kidole kinaingizwa kwa pande ile ya t.go na kuifikia hiyo prostate gland then inasuguliwa mpaka dushee ina nyooka. Prof aliipenda ndo maana amewashauri muungane nae.
Kwani ulilazimishwa uchangie uzi wa mtu humu? Utaendelea kukopi lugha za Mabwana zako wakati hata hujui utakula nini....Nyege za kisimi zinakusumbua wewe....
hahahaa!! kazi ipo..Tatizo sio kwenda kufanyiwa hiyo Kansa Makasi, tatizo ni namna watakavyo kufanyia....
Swadata, sasa ili uweze kupimwa Cancer Makers, lazima uingiziwe kidole kwenye PURU hilo tezi dume lisuguliwe, uume usimame hadi maji maji yaitwayo semen yatoke ili yachukuliwe yakapimwe maabara. Sasa ukizoea kusuguliwa PURU utanogewa na utakuwa bwabwa. Anyway, ushauri wa Prof. wenu mzuri, ila mimi NO kuguswa PURU!hahahaa!! kazi ipo..
Uchunguzi kwa kutumia kidole cha shahada iitwayo digital rectal examination (DRE): Daktari ataingiza kidole cha shahada katika puru (rectum) ili kuhisi tezi dume kupitia ukuta wa puru. Aidha atahisi pia sehemu zote zinazozunguka tezi dume kutambua iwapo tezi ni ngumu au kama ina uvimbe wowote.
Kipimo hiki ndicho rahisi kinachokubalika duniani kote na kisicho na gharama cha kugundua tatizo mapema, lakini kimekuwa kikipata upinzani mkubwa kutoka kwa wagonjwa kutokana na imani potofu na kutokuwa na ufahamu wa kutosha kuhusu kipimo hiki wakidhani ni cha udhalilishaji wa uanaume wao.
hahahahaha!!! MziziMkavu njoo uongee kitabibu. mshana jr upoooo!!?? :bolt:Swadata, sasa ile uweze kupimwa Cancer Makers, lazima hilo tezi dume lisuguliwe, uume usimame hadi maji maji yaitwayo semen yatoke ili yachukuliwe yakapimwe maabara. Sasa ukizoea kusuguliwa utanogewa na utakuwa bwabwa. Anyway, ushauri wa Prof. wenu mzuri, ila mimi NO!
cc mshana jr, Elli, masopakyindi, Bujibuji, Tezi dume, Baba V. Kiranga, Matola, Sikonge
Siwezi kuchangia Thread za utumbo kam huu samahani sana Mkuu idoyo Ningeomba Mkuu Moderator aifunge hii thread inamdhalilisha Mkulu.hahahahaha!!! MziziMkavu njoo uongee kitabibu. mshana jr upoooo!!?? :bolt:
Ungejua check up ya teze dume inafanyikaje, hautataka kufanyiwa tena, Ukifanyiwa mara 2 au 3 lazima uwe shoga. Kidole kinaingizwa kwa pande ile ya t.go na kuifikia hiyo prostate gland then inasuguliwa mpaka dushee ina nyooka. Prof aliipenda ndo maana amewashauri muungane nae.
Swadata, sasa ili uweze kupimwa Cancer Makers, lazima uingiziwe kidole kwenye PURU hilo tezi dume lisuguliwe, uume usimame hadi maji maji yaitwayo semen yatoke ili yachukuliwe yakapimwe maabara. Sasa ukizoea kusuguliwa PURU utanogewa na utakuwa bwabwa. Anyway, ushauri wa Prof. wenu mzuri, ila mimi NO kuguswa PURU!
Duuuh! new terminology to me PURU!!!!!!!!
cc mshana jr, Elli,masopakyindi, Bujibuji, Tezi dume, Baba V. Kiranga, Matola, Sikonge
MziziMkavu ni mganga wa kienyeji hawezi changia mada za kisayansi na kisomi kama hizi, hapo yeye hana analolijua. Hakunaga tiba mbadala kwa hili lazima kidole iingie kwenye PURU.hahahahaha!!! MziziMkavu njoo uongee kitabibu. mshana jr upoooo!!?? :bolt:
MziziMkavu ni mganga wa kienyeji hawezi changia mada za kisayansi na kisomi kama hizi, hapo yeye hana analolijua. Hakunaga tiba mbadala kwa hili lazima kidole iingie kwenye PURU.
MziziMkavu ni mganga wa kienyeji hawezi changia mada za kisayansi na kisomi kama hizi, hapo yeye hana analolijua. Hakunaga tiba mbadala kwa hili lazima kidole iingie kwenye PURU.
Kipimo cha damu kuchunguza aina ya protein inayozalishwa na seli za tezi dume kiitwacho Prostate Specific Antigen (PSA): PSA ni uzalishaji wake huongezeka wakati wa BPH, tezi dume inapopata uambukizi (prostitis) na saratani ya tezi dume.amiri jeshi hawezi kupitia process hii, lazima jamaa walitafuta alternative
haidhalilishi. hiyo ndo sayansi. labda alitumia njia nyingine:
MziziMkavu ni mganga wa kienyeji hawezi changia mada za kisayansi na kisomi kama hizi, hapo yeye hana analolijua. Hakunaga tiba mbadala kwa hili lazima kidole iingie kwenye PURU.
Kwani ulilazimishwa uchangie uzi wa mtu humu? Utaendelea kukopi lugha za Mabwana zako wakati hata hujui utakula nini....Nyege za kisimi zinakusumbua wewe....
Kwani ulilazimishwa uchangie uzi wa mtu humu? Utaendelea kukopi lugha za Mabwana zako wakati hata hujui utakula nini....Nyege za kisimi zinakusumbua wewe....
Mama yangu amekujaje hapa, acha useng.e jike wako kuingilia hoja usioijua mwanzo wake?Matusi yako yanaonyesha uhalisia wa mazingira yako unayo ishi, sikulaumu kwani wewe ni wewe na mazingira ndio yame kufanya hivyo.
Unge jiuliza swali moja tu!
Je mama yako ange kuwa na tezi jike na waka mchovya dole gumba Unge andika huu utumbo? Heshimu binadamu mwenzako na wewe uheshimiwe, (tafakuri)
Mama yangu amekujaje hapa, acha useng.e jike wako kuingilia hoja usioijua mwanzo wake?
Kimbelembele chako cha kundandia hoja katikati ndicho kilichokufanya usione matusi aliyonitukana huyo Bwana wako. Nilichokisema mimi hakikuwa na tofauti na uzi #21 wa mkuu Jambazi ambao nao ulitokana na kuchangia hoja #5 ya mkuu Gwangambo.
Ungefuatilia uzi huu toka mwanzo ungebaini tatizo lilianza wapi, uache kushambulia upande mmoja tu.