well said mkuu maana nilikua nastajabu . Ndio yale nilisema kabla mtu hujaandika kitu weka katika fikra zao kua unaowaandikia ujumbe huonwanajua zaidi yako mara zote huta pata challenge ila ukiandika kishabiki utaishia kuaibika kama yy si kundi la ccm wajinga ajitokeze atetee uzi wake wa kitoto huotumsamehe bure mkuu! Maana hata twaweza walikiri kua ccm inaungwa mkono na wajinga wengi, yaani wasiosoma! Kwahiyo kubali kua ndani ya ccm kuna wajinga kibao, huenda naye ni mjinga.
Mgombea mwenza Ukawa Babu Duni amekata tamaa kabisa ya kutoendelea na mikutano ya kampeni kutokana na zomeazomea kuendelea kuikabili Ukawa.
Hata hivo kuna uwezekano Babu Duni akawa amesoma upepo mapema hivo kuamua kijiondoa ili kupunguza upotevu wa gharama.
Mbali na hivyo kwa taarifa za ndani kutoka CUF inasemekana anatakiwa arudi CUF kwasababu Ukawa wamekiuka makubaliano yaliyoafikiwa juu ya usawa wa vyama shiriki ukawa hivyo anatakiwa kujiondoa haraka Chadema arudi CUF na huo ndio utakua mwisho wa Ukawa

Hili ndio njia nzuuri ya kuwajibu MAFISI!
hahahaha....Babu Duni wameshamzomea hadi amekosa amani akaona hawa watu wa bara
Duni yupo mafia na kilwa mtoa mada shoger nini?
mtoto mada ni kisamvu bamia
Mgombea mwenza Ukawa Babu Duni amekata tamaa kabisa ya kutoendelea na mikutano ya kampeni kutokana na zomeazomea kuendelea kuikabili Ukawa.
Hata hivo kuna uwezekano Babu Duni akawa amesoma upepo mapema hivo kuamua kijiondoa ili kupunguza upotevu wa gharama.
Mbali na hivyo kwa taarifa za ndani kutoka CUF inasemekana anatakiwa arudi CUF kwasababu Ukawa wamekiuka makubaliano yaliyoafikiwa juu ya usawa wa vyama shiriki ukawa hivyo anatakiwa kujiondoa haraka Chadema arudi CUF na huo ndio utakua mwisho wa Ukawa
Unataka kusema hatakiwi kwenda Zanzibar? unajuaje ameenda kuandaa mkutano wa EL wa leoMgombea mwenza Ukawa Babu Duni amekata tamaa kabisa ya kutoendelea na mikutano ya kampeni kutokana na zomeazomea kuendelea kuikabili Ukawa.