babu anasimulia tunapolala nafsi zingine huamka usiku wa manane, yaani wanga, ni kweli?

barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
32,324
29,586
Happy usiku wa manane!

image.jpeg


image.jpeg


image.jpeg


image.jpeg


image.jpeg


image.jpeg
 
Sasa hizo ni nafsi au binadamu! Nafsi najua ni intangible sasa hapo naona binadamu kabisa.
 
Hzo ni picha za kusadikika na kufikirika kuwa ni nafsi.

Nadhani nafsi huongea na nafsi nyingine.. somo la mawasiliano ya nafsi/roho ni gumu sana kwa sababu hata Mungu wetu tunawasiliana nae katika roho na inabase katika imani tu kwamba anasikia na anajibu lakini uelewa zaidi ya hapo ni mgumu sana.
 
Back
Top Bottom