KUna siku niliona kwenye Yahoo video, mtoto mdogo nadhani alikuwa hajafika mwaka kwani hajaanza kusimama bila support, yani yeye anacheza mziki 24/7 na wazazi wanamwekea redio kabisa ukizima anawasha tena. Wanasema toka azaliwe yeye amekuwa ni mtu wa kucheza mziki. Sasa madokta wamemfanyia operation waka plant bone marrow kama sikosei kwani wanasema kuna abnomality. Sasa hiyo operation wanasema mtu mzima tu waweza kuwa weak for months lakini katoto toka kametoka kwenye coma kanaendelea kucheza mziki. Inasikitisha na kuchekesha. Mimi angekuwa mwanangu wala nisingmfanyia operation wala nini. Magonjwa ya siku hizi sijuhi ni mwisha wa dunia.