We jamaa bana. Sina mke by the way ila hata kama ningekuwa naye akiloa/asipoloa wewe inakuongezea au kukupunguzia nini kamanda?
Ngoja tusiharibu uzi wa watu kwa sababu inavyoonekana unatafuta shari tuanze kutukanana mwishowe tulimwe ban. Sitakujibu tena [emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Babe ndio najiandaa apa niingie lindo usubiri kesho unipe pole
Hahahah chizi wangu bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa dada
Mkuu kwanini unapiga panapouma zaidi ?Hata mkeo huko aliko anamkumbuka x wake kwa wema aliokua anamtendea na wema hauozi kuna siku wema huo utatoa matunda vzr kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimejikuta nampenda huyu mdada wa JF
Sometimes Love emotions arise anywhere, And ain't guilty to say how you feel about someone whom you love. Sio mchangiaji sana humu ila ni msomaji mzuri wa mada mbali mbali.. Nimejikuta navutiwa na mdada mmoja anaitwa SweetieLee Ukiangalia uandishi wake (hua anaandika Lugha safi iliyonyooka...www.jamiiforums.com
Mortdecai pita na huku kamanda utoe lako la moyoni [emoji16][emoji16][emoji16]
Kesho unikumbushe nikupe poleHahahah chizi wangu bwana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jinga wewe nitakumbuka sasa sio nitakuwa nimelala kabla jioni sijaingia lindoKesho unikumbushe nikupe pole
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jinga wewe nitakumbuka sasa sio nitakuwa nimelala kabla jioni sijaingia lindo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo maana nikakupa pole leo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kibuti cha kizungu kinaumaaa bora cha kiswahili.
Ndiwooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe bado..basi wako huyo pambanaHapana, it's just you have that feeling like 'you're not fitting in'..!!
Very unlikely watu wakaachana mwa amani
Kwasababu ni ngumu wote kukubaliana kuachana endapo mmoja hajawa tayari kupokea separation
In any way, shape and form... Separation ni painful process lakini sometimes ni the only way out
Nitag kwenye uzi alioleta.Kwema broo, alileta thread hapa siku moja akamtaja na alisema the man was cool huwezi amini.
Duuh poleni saana kama kuna wanaofanya makusudi.Ni kweli mkuu ila kuna wengine wanafanya makusudi kabisa kuumiza wengine.
Hivi umepata mume?Ukiona mnaachana kwa amani tena mnaendelea kuwa marafiki basi hamkuwahi kupendana.