Babe, I am afraid this was never meant to be...

Haijatulia sema nitafanyaje sasa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mnajua sana kutuumiza nyie viumbe
Unadhani hata tunapenda....huwa tunashangaa kuambiwa unaniumiza. Ukiona unachoambiwa unamuumiza hata kilikuwa hakipo akilini..

-Usiku mwema
-umeamkaje.

At the end of the day, naamini nature inamua lipi litokee wapi na vipi licha ya juhudi za wote kutaka kuweka hali sawa.

Unaweza kuamua kuwa na Mzigua90 ila kama nature haijakubali basi haijakubali.
 
Ni kweli mkuu ila kuna wengine wanafanya makusudi kabisa kuumiza wengine.
 
Very unlikely watu wakaachana mwa amani

Kwasababu ni ngumu wote kukubaliana kuachana endapo mmoja hajawa tayari kupokea separation

In any way, shape and form... Separation ni painful process lakini sometimes ni the only way out
 
Lol. Mnatukomesha wengine kwa makosa ya wengine.

Siku wanawake tukipata mioyo kama yenu ya kuumiza kisa kuumizwa wanaume wengi sana watalia
Mkuu hii ni kama fate mtu ukiishaumizwa na first love kwa upande wetu huwa tunakuwa na roho za ajabu sana
 
thank you so so much,
I inhale this..!! I know I have to kiss many frogs before finding my own prince so that I would cherish that person, been so strong indeed.!!
Sasa prince unamtafuta si yule jamaa aliekuanzishia uzi...
 
Bora umeandika Kiswahili kidogo nikaelewa kinachoendelea. Hakika wewe sio furushi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…