"no one will ever replace him" thats a very white lie bro, in todays world all what needs to happen is for that guy, that man who drives, he has a good job, able to take that sweet girl for holidays, candle lit dinners and so, to get fired from that job, and so no longer to afford even rent at that nice apartment at bweni, loses the car, and so on, and that sweet girl will find a replacement in the next 48 HOURS, you can take that to the bank, and aslo if that man meets a more "hot" chick and the current one will no more get a place in his heart, hope i have driven my point home sir@SweetieLee,This is a heart of a real woman crying and yearning for the true love that, for some unknown reasons, has now eluded her. She is hurt; and her heart is bleeding.
Listen young lady. You seem to know what you want. My advice to you is this: fight for this love. Let this unique man know about the deep love that you harbour for him. That no one will ever replace him; and that you will always be there waiting for him.
You seem to be in pain. Please go fight for this love !!!
I'm Delighted to hear that...
nimeshindwa kujibu swali lako. nahisi umebadili ID ninayo ifahamu mimi.
Hahahaha lol sidhani kama hata hizo usernames za nyuma unazifahamu ila mimi naifahamu hii ya kwako mkuu
sawa mkuu, majukumu kidogo yananificha ila all is well. nimefurahi angalau kuuliziwa!
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Sawa Mkuu karibu tena
Huyu ni Mariana a.k.a edelyn..shukran mkuu, japo umeniacha na hamu ya kukufahamu.
Ndio, Mama yangu aliniambia mwanamke anajifunza kupenda. Hivyo nichague mwanaume mwingine kwa kutumia akili( yani awe na vigezo vyangu vingi ninavyo vipenda). Baada ya kuchagua niolewe. Nikafanya hivyo.Ahsante mumie nimepoa!
Miaka 9???? Na kuolewa ulikuwa ushaolewa sindiyo??
SweetieLee. This is a heart of a real woman crying and yearning for the true love that, for some unknown reasons, has now eluded her. She is hurt; and her heart is bleeding.
Listen young lady. You seem to know what you want. My advice to you is this: fight for this love. Let this unique man know about the deep love that you harbour for him. That no one will ever replace him; and that you will always be there waiting for him.
You seem to be in pain. Please go fight for this love !!!
Kama kweli flan hivii.ahahahah..Ukikosa hela utasahau huu utumbo wote
Ogopa sana mkuu..Ogopa..hata ikipita 10 yrs hawa wawil wakiktana bas mungu tu ndio anajua yote.Na nimejifunza kitu muhimu sana hapa. Ni muhimu sana kuachana na wapenzi wetu kwa amani na upendo. Huyu braza anayeliliwa hapa bila shaka ni mtu mwema na ana haki ya kujipongeza huko aliko.
Ndiyo. Watu mkishindwa kuelewana mnaachana kwa amani. Na mbegu za wema, upendo wa kweli, urafiki na ubinadamu zikipandwa, zikapaliliwa na kutunzwa vyema daima hutoa matunda mema. Miaka inaweza ikapita lakini matunda yake kamwe huwa hayaozi na kupotea moja kwa moja. Hongera binti kwa kukumbana na njemba hii iliyokuachia makovu ya wema na upendo katika mtima wako mchanga.
Mungu Atauponyesha moyo wako huu unaobubujika asali ya mapenzi matamu ya kweli yaliyoachwa peke yake yakichuruzika na mrina huyu shujaa aliyeamua kwenda kusaka asali kwingine. Jipe muda. Utapona !!! [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ahahahahahahh.SHIMBA YA BUYENZE,
Hata mkeo huko aliko anamkumbuka x wake kwa wema aliokua anamtendea na wema hauozi kuna siku wema huo utatoa matunda vzr kabisa.
Ahahahahahahaha..Mnanifurahisha vijana.Hiv nilikua wap sikusoma huu uzi on timeHahahaha, mke anauma sana bro, hizo mada za kuchapiwa sio za kuziongelea.
Teh teh teh...naoa 2010 naanza kupendwa february 2015 nakufa december 2015.Ndio, Mama yangu aliniambia mwanamke anajifunza kupenda. Hivyo nichague mwanaume mwingine kwa kutumia akili( yani awe na vigezo vyangu vingi ninavyo vipenda). Baada ya kuchagua niolewe. Nikafanya hivyo.
Nikaolewa wakati moyoni yupo mwanaume mwingine, harafu nikajifunza kumpenda mme wangu.
Mme wangu akawa ananipenda sana, maana nilikuwa simuhesabii makosa, yani hata akinikosea sioni shida maana nilikuwa namkubali sana ila sio kumpenda.
Miaka ikapita nikawa namsahau x taratibu, ila nikimkumbuka naliaaaa napoa naendelea na maisha.
Nikawa namkumbuka baada ya mwezi! Mara inapita miaezi mitatu ndio namkumbuka, mara miezi nane mpaka nikawa simsikii tena. Nikaanza kumiss mme wangu.
Mme wangu akisafiri naugua, wakata awali mme wangu alikuwa akisafiri nakuwa ido namuwaza x.
Nikaangukia kwenye penzi zito la mme wangu !!!
NB: past inauma lakini unaweza ukaikimbia na ukaenjoy the present.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahahahaha..achana na maisha ya watu banaDaah wajomba kwny harakati za kufukuzia mnatumiaga Lugha nzuri kama za malaika vile hahah.
The brain, the brain..insiating, the brain.
Mkuu oohhooh..kumbe huy jamaa ni mzee wa ma target tu..Hivi kuna mtu hajawahi kuwa kwenye target yako?
Asking for a friend
Mkuu oohhooh..kumbe huy jamaa ni mzee wa ma target tu..
Atakua sniper huyu bila shaka
Ahahahah..naomba niwaache.