Babe, I am afraid this was never meant to be...

Siwezi kupinga namna ulivyompenda na kumthamini huyo jamaa yetu lakini naona kama umempa nafasi kubwa sana ya maisha yako, kuwa taa, nuru, dira, mwongozo na mwelekezaji wa maisha yako, hilo kwa mtazamo wangu sio sawa.

Cha kyshukuru hamjaachana kwa ugomvi na makelele meeeengi, itakuumiza lakini tumeumbiwa kusahau.

Kila la kheri
 
Upo sahihi kabisa, ni experience mbaya sana, na unaambiwa kabisa 'you're just perfect, I real admire the uniqueness in you', ila ndo hivyo ukweli unabaki pale, you ain't his priority.!!
 
Wazee wa fursa... haha napita tu.
 
Nashukuru nimekuelewa vizuri, ila wakati unaingia unakuwa huna hakika na matokeo utakayokutana nayo humo ndani, ila yakishakukuta yakukuta ndipo akili zinakukaa na fahamu zinarejea.!!
Ahsante The Monk hili linapita na linasahaulika pia.!
 
Upo sahihi kabisa, ni experience mbaya sana, na unaambiwa kabisa 'you're just perfect, I real admire the uniqueness in you', ila ndo hivyo ukweli unabaki pale, you ain't his priority.!!

Ila namshukuru huyo jamaa aliweza kumudu kuwa mkweli. Japo pia ilikua njia ya kujiweka pembeni kwa mambo mazito yanayohusu mahusiano. Akishakwambia hivyo hauwezi kutarajia mkapanga nae mikakati na mipango ya maisha tena. Atakwambia tu anakupenda sana na angefurahi muwe wite lakini haifanyi kazi.

Cha ajabu ukimpa mambo anapokea ila anakua amejiweka kwenye hali ya kuegesha.
Tatizo siju anakuja kugundua kwamba ulikua na uoendo wa dhati na akishapata wajanja wakamfungua macho ndio anakukumbuka. Wakati huo umeshajipangusa vumbi umesonga na maisha. Anabaki kujuta.
 
Ndiyo, upo sahihi watu wa aina hii huwa hawataki kuzungumzia mustakabali wenu kabisa na kwenye mikakati yake ya muda mrefu haupo, the good thing is,
'there's always a bright vision at the end of the tunnel'..!!
 
Itapita tu. Na huwezijua ilikua ni sehem ya kujifunza na kupata uzoefu utakaouhitaji mbele ya safari.

Kikubwa, uko mzima! Mambo mengine hatuna uwezo mkubwa wa kuyafanya yaende tunavyotaka sisi.
 
Itapita tu. Na huwezijua ilikua ni sehem ya kujifunza na kupata uzoefu utakaouhitaji mbele ya safari.

Kikubwa, uko mzima! Mambo mengine hatuna uwezo mkubwa wa kuyafanya yaende tunavyotaka sisi.
Shukrani sana The Monk lesson learnt na maisha lazima yaendelee.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…