Babe, I am afraid this was never meant to be...

Sidhani kama ndo mhusika, mbona kama alikuwa amfariji tuu au mimi ndo sielewi KiTrump kaka!
Kwa jinsi alivyoandika, kila mtu anaweza kufikia hitimisho lake. Wengine tumesoma shule za kata dada na hatuwezi kung'amua dhamira ya ndani ya mwandishi.

Hata mimi nilidhani; na bado nadhani pengine huyo ndiye mhusika amekuja kutuliza moto [emoji16][emoji16]
 
Pole sana!

I wish I could say something
Ahsante sana.!
Just say something.!!
Sorry Relief, but do I really know you??
Sweetlee
Kwa akili yangu ndogo naona yalianzia hapo, and nothing is serious kaamua kuvaa tuu uhusika if am not wrong!
 
Sweetielee Relief Mirzska this is just a SUGGESTION. Do you business in private not in public place like this one. Again, it is just a suggestion it is up to you to decide what is best for both of you. Good luck and all the best.
[emoji1431]
Wazingatie ushauri huu. Mapenzi waliyakuta na watayaacha na hakuna faida watakayoipata kwa kuanika hisia zao hapa (kwa pamoja)
 
Hahahahaha
Ukisoma kwa makini kuna funga na fungua semi...
Mwanzo kabisaa na mwisho, mie nilijua anamfariji mleta mada kama tulivyofanya ila kaja kwa namna yake!
 
Wazingatie ushauri huu. Mapenzi waliyakuta na watayaacha na hakuna faida watakayoipata kwa kuanika hisia zao hapa (kwa pamoja)
He is not the one SYB, alikuwa anajaribu tu kunifariji.!! Na kuhusu mimi kuliweka hapa yeah imenisaidia sana I am feeling relieved right now huwezi amini, natamani ningeutua huu mzigo muda mrefu zaidi.!!
 
Hahahahaha
Ukisoma kwa makini kuna funga na fungua semi...
Mwanzo kabisaa na mwisho, mie nilijua anamfariji mleta mada kama tulivyofanya ila kaja kwa namna yake!
Nimemuelewa vizuri sasa, na kauvaa uhusika hasa!! Loh' wewe Relief usirudie nini unakuwa kama yeye bwana!! 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…