Nahitaji dalali wa nyumba Babati

Mfonii

Member
Joined
Jul 2, 2021
Posts
64
Reaction score
45
Wakuu habari zenu?

Naomba wadau wa Babati waliopo humu JF kama nitapata dalali Wa nyumba nitashukuru.
 
Umeajiriwa Babati chief ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Ndio kaka๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hongera na karibu sana kwetu,

Usisahau kujifunza maneno madogo madogo ya lugha yetu adhimu ya ki irwaq baridi kali la usiku na vumbi ndio maisha ya Babati.

Chondechonde usioe kwetu ukaoe kwenu bwana mdogo
 
Shukrani kaka unaweza nipa muongozo inbox maana nahitaji nyumba ya family. Kuoa tayari Nina Miaka 7 Sasa ndoani
 
On top of all linda ndoa yako kwa ibada na Mungu wako....kuna kamsemo ka hapo Babati nimekasahau ila kinamaanisha hapo lazima kuachana!
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Siwezi kuachana nae mkuu kaniloga. Waha nimewanyooshea mikono๐Ÿ˜‚๐Ÿ™๐Ÿฝ
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ