Kwani kwenye FIESTA watoto hawaruhusiwi? ulitaka wasiende kuona bongo fleva na bongo muvi kwani kulikuwa na kiingilio? acha watoto wafurahi kumuona alikiba na yamoto band. watu wengine uwanjani wala walikuwa hawajui kuwa kuna mkutano wa siasa, huko mtaani story ni jinsi muziki ulivyokuwa mtamu na jinsi bongo movi walivyo vaa, wala hawakumbuki kufuli lilikuwa linasema nini.