B Babasean Member Oct 31, 2010 35 2 Nov 2, 2010 #1 wana JF wenzangu naomba nisaidieni na mnijuze matokeo ya majimbo haya kwa yeyote mwenye nayo. Nawakilisha
wana JF wenzangu naomba nisaidieni na mnijuze matokeo ya majimbo haya kwa yeyote mwenye nayo. Nawakilisha
Ikimita JF-Expert Member Oct 23, 2010 300 21 Nov 2, 2010 #3 Mkuu vuta pumzi hadi kesho, bado miyeyusho tu.
Ndibalema JF-Expert Member Apr 26, 2008 10,956 4,648 Nov 3, 2010 #4 Subira inahitajika kwenye jimbo la Segerea kwani mafisadi wana'buy time ili wageuze nyekundu kuwa njano kitu ambacho abadan hakiwezekani.
Subira inahitajika kwenye jimbo la Segerea kwani mafisadi wana'buy time ili wageuze nyekundu kuwa njano kitu ambacho abadan hakiwezekani.