Je, ujenzi huo huko kwenye muda uliopangwa toka mwanzo? Au ni kutaka kuwavutia wapiga kura kwani naona wing mirror ya gari ambalo liko kwenye foreground ina nembo ya CCM. Hii sio miradi ya MCA-T kweli? Tutaona baada ya uchaguzi kama utaendelea kwa kiwango cha rami.