GE2025 'Babalevo' amejiharibia, amepiga teke fuko la pesa!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Baba levo acha kujipa matumani hewa 😆 umeshindwa kupenya tulia fanya mambo mengine.
 
Huyo hata uteuzi ndo basi hapati tena discipline ndogo..NI aidha afanye maamuzi magumu agombee upinzani anashinda mapema Sana asubuhi au arudi wasafi kwa boss wake diamond
Hujui ushindi anaamua ccm sio ishu ya kura
 
Hao ndio wahuni wanao semwa. Yaani wamesha jiona wao ni kila kitu. Chawa ni hatari
 
Unajuwa alivyokilea chama wakati wa utawala wake?
 
Kuna sehem nimesoma eti Mungu alifanya uumbaji na siku ya saba alipo maliza na kupumzika, shetani akaiba udongo na kuumba wajumbe 🤣
 
Kwanini asishinde na ccm wako peke yao kwenye huo uchaguzi.

Useme kwasababu atagombea na Zitto kabwe ccm B hivyo ccm wanao uwezo kumpa Zitto jimbo ili kuhalalisha wizi wao.

Ili waseme act wameshinda hivyo kuondoa dhana ya upinzani kulalamikia kanuni za uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…