Baba yangu hanipendi kwasababu ya tabia zangu

Baba yangu hanipendi kwasababu ya tabia zangu

Kuna mahali umemkwaza tafuta muda tulivu akiwa pekeyake umuulize kwa adabu na unyenyekevu ukiwa umevaa mavazi ya heshima
Kwiiiii kwiiiii chief pole leo umeingizwa chaka duh siamini kama haumjui uyu muongo wa JF ambae ni fundi wa hadithi za uongo,pole sana mpwa ila nimecheka tu ulivyoshauri kwa nidhamu zote
 
umesema hakpendi kutokana na tabia zako zipiii?? na kama unazjua ziache haraka yaani ukiona Baba au Mama anakuangalia tuu ujue umemkinai/ umemkifu kwa tabia zako

Baba yangu Mimi ni mtu mkali sanaaa na ukimuudhi anafoka sanaa ikifika stejii amekufoka weee na kukukataza mambo mabaya huelewi ANAKUACHAA TENA ANAKUANGALIA TU HATA UNYE SEBULENI YE WALAA kikubwa anasema "Ipo siku nawe utapata watoto yatakukuta haya zamu yako inakuja"
 
Kuna wadada vichwa nazii..Lakini huyu ni kichwa dafuu..
Mamii kabla ujapost embu pitia nyuzi za MMU wa kike humu jamvinii...

usikurupuke kama serkali ya awamu 10/2
 
Uongozi wa chama una mwenywe, uhuru ni ishu ya kitaifa na hapo ndipo raisi anapikua na power.....acha kukurupuka tafuta kwingine ukosoe ebo!
 
Ni vizuri maana umekaa ukifikiri unajua yote ya dunia zaidi ya wazazi wako. Na hiyo ya kubadili dini pia...na mengineyo.

Akurudishe tu tena asikuache hapa mjini, ni kijijini kabisa upelekwe ukanyooke halafu ukirudi huko ulipo utakuwa mtoto mwema.
 
Ndio Maana kumbeee!!!!!Hata threads zako hazieleweki,.nikwambie Mdogo wangu!?Hili jukwaa tuachie watu wazima ww soma kwanza na utaona baba anakupenda upya ananuna saa nyingine Anajua upuuzi wako na usikute na yy yupo humuhumu anakuona ona tuu na sridi zako za "kwann wanaume wa bongo hawajui kutongoza" nayy akijiangalia ni mwanaume lazima aone huna adabu na umemdharau,.upo nyonyo!!??

Haya na ufanye homework sasa
 
  • Thanks
Reactions: THT

Mimi mwenyewe nahisi baba yake yupo huku na alisoma mabandiko yake, kwa nini aache kumjali gafla?? tehe tehee..... Just thinking!!!!
 
  • Thanks
Reactions: THT
Wewe si ulisema unataka kua model. Amekuacha uwe model maana anakujali unamwona mjinga na unapenda mambo ya kijinga.
 
Tabia zako kama zipi?? Za kitoto au kikubwa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom