mkuu usifikrie leo mkuu embu pata picha umeweka kitu ndani mzee anavizi kupiga aisee amani itapotea kabisa may be ukioa kaa mbali na huyo mzee wako. ila pia wewe utakuwa mtu wa mashaka mchumba wako akongea vizuri na mzee unahisi ashampa hapo yani me sijui naonaje zaidi ya kumkabidhi huyo mzee aisee. ugomvi na baba kisa mbunye si sawa:crying: