Baba yangu anamtaka mchumba wangu!

Hapo umemaliza, au ili waende sawa na yeye ampende mke wa baba yake.
Mke wa baba yangu nilikuwa nikimpenda kabla sijazaliwa na ninaendelea kumpenda mpaka kufa kwangu.
MAMA NAKUPENDA SANA NA NITAENDELEA KUKUPENDA INGAWA WAGEMA ULIMBO WANAONGEA WASIYOYAJUA LAKINI WEWE NDIO UKO KARIBU ZAIDI NAMI.NAKUPENDA SANA MAMA NA NAMUOMBA MUNGU AKUPE MAISHA MEMA MAREFU NA YENYE BARAKA TELE.AMIN
Nalog off
 
Si umwachie utafute mwingine,labda yeye hawaoni na mama kajichokea
sasa hata kuimbisha hajaanza wakati mimi najimegea kisela kitambo tu kwanini nimwachie? atafute mwengine tu.
Nalog off
 
Mmmh hyo mzee wako na ww wote mapunguan, anaona unalngana nae mpk akushrkshe upuuz wake.
kha! baba yangu mimi si ndio boss wako? ohoo angalia asije kukufukuza kazi kwa madharau yako,hakuna upuuzi hapo mimi ni mkubwa na ni dume la mbegu kama yeye na ndio maana ameniambia.
Nalog off
 
We Baba V unamaanisha ampende mama yake ambaye ndie mke wa baba yake Washawasha mzee wa ku log in
mtu ambaye hampendi mama yake atakuwa na mapungufu ya akili kichwani mwake.
​NAKUPENDA SANA MAMA,MUNGU AKUPE MAISHA MEMA MAREFU NA YENYE BARAKA TELE.
Nalog off
 
kuna mchumba na chumba....huyo ni chumba maalim swala lako lisubiri mahakama ya kadhi mkadhi na ukishidwa kwa kadhi mfawidhi.
sasa tukisubiri mahakama ya kadhi si watamkuta ana watoto teyari.
Nalog off
 

Sasa umwambie nini wakati tayari baba yako anajua kwamba anampenda mchumba wako. Ongea vizur na mchumba wako inawezekana walishaanza zaman.
 
ndiyo "we mbona ulinyonya maziwa ya mke wake be fair joke" ila kiukweli kuliko kuleta huyo mchumba baba avizie achape ni bora kumwachia mzigo wote aisee inauma
mpaka naileta hii mada hapa kwa kweli inaning'ata sana aisee.
Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…